KUHUSU KANZU

Kwanza kabisa kanzu Zetu zinashonwa Oman kwa Mafundi waliobobea kwenye kazi hii na Yenye Ubora na umaliziaji wa Ufumwaji vizuri. Pili kanzu tunaleta za Tayari ambazo zimeshonwa kwa Vipimo Tofauti Vipimo vya mtoto umri wa Mwaka mmoja mpaka mtu mzima. Tunaleta za vipimo vya watu wembamba (slim fit) , watu wa kati ( medium size) na pia watu wanene ( big size) Tatu pia huwa tunapokea Oda maalum ( special orders) kwa wale wenye uhitaji binafsi na matakwa Binafsi na kwa Machaguo maalum watakavyo ( customized orders)

under construction

You can edit all of this text and replace it with what you want to write.

KUHUSU UVALISHAJI

unatoa huduma za Kuwavalisha Maharusi kwa utamaduni wa Ki Omani, emarati na hata Kwa utamaduni wa Kizanzibari pia. ila sana sana tumebobea kwenye Uvalishaji Asili ya Oman. Utaratibu ni wa Kuja Kuchagua Vilemba,na jambia au panga na bakora utazohitajia kwa siku yako ya harusi, utapata kuchagua rangi ya kilemba na Joho utakalo na kuweka Miadi (booking) ya tarehe husika. kwa huduma hizo Pekee Na Ubora wa hali yajuu hakuna pengine pa kuzipata zaidi ya ALHINAI CLASSIC kwani kwetu mteja ni zaidi ya MFALME.