About Alhinai classic
Alhinai Classic ni kampuni ya mitindo ya mavazi ya Kiasili ya Oman na Falme za nchi ya Kiarabu na mtindo wa maisha yenye Daraja A [+]. Kampuni hii  ilianzishwa mnamo 2014 na ikajaaliwa kupokelewa vizuri na wateja wetu Rasmi, Kwa Ubora wa Kazi Na ubunifu wetu wa kila SIku.

Tumekuwa Mstari wa mbele kwenye ubunifu wa Mavazi Yenye Asili ya Oman, ikiwemo Kanzu, kofia, viatu perfumes, Bukhoor (oudi) nk

Mnamo Mwaka 2016 Tuliweza Kuanzisha Huduma zengine za Kuwavalisha Mabwana Harusi Mavazi Rasmi kwa Ajili ya Aqdi au Kuolea yakiwemo Majoho, Vilemba vya asili ya Oman na Mapambo yake Rasmi yenye Daraja Ya Kwanza.

Tunashukuru sana kwa mapokezi bora na Kutupa ari ya kuongeza ubunifu na Ushindani katika Tasnia hii ya Mavazi Ya Kanzu na Kuweza Kuwapendezesha Watanzania na East Africa kwa ujumla.

Tumekuwa Mstari wa Mbele kwenye Kuboresha Huduma na kuwafikia Wateja wa ndani na Nje Ya nchi kwa Unafuu na Haraka.

Bofya video hapo chini uone Moja Ya kazi Zetu , Shukran

KARIBU SANA ALHINAI CLASSIC KWA HUDUMA BORA